Tiger Woods ajitoa mashindano ya US PGA Akiwa kashuka hadi nafasi ya 628 kwa viwango vya dunia, Tiger Woods ametangaza kutoshiriki mashindano ya US PGA ya mchezo wa Gofu hadi mwaka ujao. Read more about Tiger Woods ajitoa mashindano ya US PGA