Bale na Ronaldo ni vita nusu fainali Euro 2016
Mshambuliaji wa Real Madrid na nahodha wa Wales Gareth Bale sasa atakutana uso kwa uso na mchezaji mwenzake wa Real Madrid Cristiano Ronaldo baada ya usiku wakuamkia hii leo kuiwezesha timu yake kutinga nusu fainali ya michuano ya Euro 2016.
