Magufuli, Kagame waahidi kuboresha ushirikiano
Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wafanyabiashara wa Rwanda kuwa bandari ya Dar es salaam ni salama kwa wao kupitisha mizigo na ameahidi kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua za kuiboresha bandari hiyo.
