Serengeti Boys kambini kesho dhidi ya Shelisheli

Kikosi cha Timu ya Taifa ya vijana cha Tanzania Serengeti Boys kinatarajia kuingia kambini hapo kesho badala ya leo kama ilivyopangwa awali kujiandaa na mchezo wa kuwania nafasi ya kucheza fainali za mataifa ya Afrika kwa vijana dhidi ya Shelisheli.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS