Stand United yaanza kusaka wachezaji Ligi kuu Klabu ya Stand United imesema, imeanza mchakato wa kusainisha mikataba wachezaji muhimu ambao walishamaliza mikataba ndani ya klabu hiyo akiwemo mshambuliaji wao Elias Maguli. Read more about Stand United yaanza kusaka wachezaji Ligi kuu