Deloitte yasifu bajeti ya Tanzania kwa mwaka ujao
Wachumi na wataalamu wa masuala ya fedha wamepongeza makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka ujao wa fedha kwa maelezo kuwa makadirio hayo yanaakisi nia ya serikali ya kukuza uchumi na kufikia taifa la uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.