Palestina yalia na ukiukwaji wa haki za binadamu
Balozi wa Palestina nchini Tanzania Hazeem Shabat amezitaka taasisi na mashirika ya haki za binadamu dunia kuisaidia Palestina kuondokana na vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na dhuluma inayoendelea nchini humo.

