Washiriki Kili Challenge kupanda Mlima Kilimanjaro

Tume ya Kudhibiti Ukimwi nchini TACAIDS kwa kushirikiana na mgodi wa dhahabu wa Geita GGM unatarajia kupandisha watu 50 katika kilele cha Mlima Kilimanjaro kwa lengo la kuchangisha fedha ya kupambana na ugonjwa wa Ukimwi nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS