Ajira za Maafisa habari wa michezo zaja-Wambura
NAIBU Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo, Anastazia Wambura, amesema kuwa serikali itaajiri Maafisa habari mkoa, michezo, sanaa na utamaduni ili kutatua changamoto mbalimbali za wasanii na wanamichezo katika ngazi za halmashauri hadi Mkoa.
