Wasanii Ben Pol na Mayunga

Msanii wa bongo fleva Mayunga amesema ana mipango ya kufanya kazi na king wa RnB Ben Pol kwasababu ni msani wa Bongo ambaye anamkubali sana na ni moja ya wasanii wanaofanya vizuri sana hapa Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS