Athari za El Niño Afrika ni kubwa Moja ya Athari za El Nino kwa nchi za Kiafrika. Mashariki na kusini mwa Afrika watu takribani milioni 50 wana matatizo ya uhakika wa chakula , wengi wao ikiwa ni kutokana na ukame wa muda mrefu uliochangiwa na El Niño au mchanganyiko wa vita na ukame. Read more about Athari za El Niño Afrika ni kubwa