Hamilton aingiwa na mchecheto kutetea ubingwa wake
Dereva wa mbio za magari za Langalanga Lewis Hamilton amesema matatizo ya kiufundi yanayomkabili yanamtia hofu kuwa huenda yakapelekea kushindwa kwake katika mbio za kutetea ubingwa wa dunia katika mashindano ya formula One mwaka huu.