Wabunge 6 Kenya watiwa mbaroni kwa kauli za chuki Bunge la Kenya Wabunge sita na seneta mmoja nchini Kenya wakamatwa na watafikishwa mahakamani kwa madai ya kutoa matamshi ya chuki akiwemo aliyetaka Raila Odinga auawe. Read more about Wabunge 6 Kenya watiwa mbaroni kwa kauli za chuki