Wabunge waendelea kulilia kiinua mgongo chao

Wabunge mbalimbali katika bunge la kumi na moja mkutano wa tatu leo wameonesha kutoridhishwa na vipengele mbalimbali vya kodi katika bajeti ya mwaka 2016/2017 haswa zile zinazohusu kodi ya mitumba na na kiinua mgongo cha wabunge.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS