Yanga kaa sawa Ulimwengu na Mazembe yake kutua leo
Kikosi cha timu ya soka ya matajiri wa Congo DRC timu ya TP Mazembe kinabisha hodi nchini hii leo tayari kwa mtanange wao wa pili wa kombe la shirikisho barani Afrika hatua ya makundi kutoka kundi A dhidi ya wawakilishi wa Tanzania timu ya Yanga