Mbunge Peter Msigwa atuma barua kwa Spika Ndugai

Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA) amesema amewasilisha barua kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai akitaka Naibu Spika aondolewe madarakani kwa kukiuka kanuni za uendeshaji Bunge.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS