Serengeti kuwasili kesho, kuweka kambi Madagascar
Timu ya Taifa ya vijana Serengeti Boys inatarajia kuwasili nchini saa tisa ya usiku wa kuamkia hapo kesho ikitokea nchini Shelisheli katika mchezo wa marudiano wa kuwania kufuzu kucheza fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 17.

