Magufuli awalilia 30 waliokufa kwa ajali Singida
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia za watu 30 waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani iliyosababishwa na mabasi mawili ya kampuni moja ya City Boy kugongana uso kwa uso
