Ndanda FC kuanza zoezi la usajili leo Klabu ya Ndanda FC imepanga kuanza zoezi lake la usajili hii leo kwa wachezaji watakaoitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao wa ligi kuu ya Soka Tanzania Bara. Read more about Ndanda FC kuanza zoezi la usajili leo