Wadau wa Kiswahili wakutana nchini Kenya Rais wa Chama cha Ukuzaji Kiswahili Duniani (CHAUKIDU), Prof. Lioba Moshi. Wadau mbalimbali wa lugha ya Kiswahili wamekutana hivi karibuni mjini Nairobi, nchini Kenya na kupitisha mpango mkakati wa lugha Kiswahili katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Read more about Wadau wa Kiswahili wakutana nchini Kenya