Usafiri mpya waja nchini, madereva taksi waupinga

Namna ya kupata huduma inayotolewa na mfumo huo mpya wa usafiri wa teksi maeneo ya mijini.

Wafanyabiashara wa huduma za usafiri nchini hivi sasa wanaweza kutumia teknolojia ya kisasa ambapo wateja na wasafiri wanaweza kuwasiliana kupitia utafutaji unaofanya kazi kwa njia simu za mkononi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS