Shindano la Masoko ya Mitaji na dhamana laanza
Shindano la Masoko ya Mitaji na dhamana kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu na taasisi za elimu ya juu imezinduliwa huku wanafunzi wakitakiwa kushiriki ili kuongeza uelewa kuhusu masuala ya mitaji ya masoko na dhamana.
