Serikali iwabane wajenzi kujenga Green house Serikali imetakiwa kuhakikisha kuwa wataalamu wa majengo nchi wanajenga nyumba zinazotumia nishati na maji kwa kiwango cha chini (Green Building) ili kupunguza garama kubwa za uendeshaji wa majengo hayo. Read more about Serikali iwabane wajenzi kujenga Green house