Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeanza mchakato wa maandalizi ya kufanyika kwa kura ya maoni, ikiwa ni pamoja na kuendelea kuboresha daftari la mpiga kura katika mikoa yote nchini.