Magufuli amteua Prof Kabudi kuwa Mwenyekiti TIB

Prof. Palamagamba J. A. M. Kabudi

Rais ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya TIB Prof. William Lyakurwa na kumteua Prof.Kabudi kushika nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka mitatu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS