Pisheni magari ya zimamoto muyaonapo- Andengenye
Kamishna wa jeshi la zimamoto na uokoaji, Thobias Andengenye amewataka wananchi kote nchini kuheshimu kazi inayofanywa na jeshi la zimamoto hasa kwa kupisha magari hayo pindi wananchi wanapoyaona ili yaweze kuwahi katika maeneo ya majanga