Wadau bayonuai,udhibiti viumbe pori wakutana Kenya
Zaidi ya watu 250 wanaohusika na bayoanuai na udhibiti wa viumbe pori wanakutana Jijini Nairobi Kenya kuanzia jana hadi Juni 30, kujadili jinsi teknolojia ya angani inavyoweza kutumiwa katika kulinda viumbe pori na bayoanuai.