Andy Murray(pichani) akionyesha umwamba wake uwanjani
Muingereza namba moja katika tenisi Andy Murray atakutana uso kwa uso kesho na Jo-Wilfried Tsonga katika mchezo wa robo fainali ya michuano ya Wimbledon inayoendelea kushika kasi yake jijini London.