Madiwani CHADEMA Tunduma wasusia Mbio za Mwenge
Wakazi katika mji mdogo wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe jana(Julai 4) walionesha kutokubaliana na madiwani wao baada ya kujitokeza kwa wingi kwenye Mbio za mwenge wakati viongozi wao hao wakisusia mbio hizo.
