Nunueni bidhaa za ndani zinadumu- Waziri Mwijage
Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage amewataka watanzania kuthamini bidhaa za ndani kwani zinadumu kuliko baadhi ya bidhaa kutoka nje ya nchi ambazo baada ya muda mfupi zinaharibika kwa kukosa ubora.

