Watanzania wanahitaji maendeleo sio visasi kisiasa

Mbunge wa Jimbo la Ulanga mkoani Morogoro Mhe. Godluck Mlinga amewataka wanasiasa nchini kuacha tabia zakulipiza visasi kwa kuwanyima wananchi haki zao za msingi kwa kuwa uchaguzi umeisha na kazi iliyopo sasa nikuwaletea watanzania maendeleo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS