Bunge la jamii laonesha kuzaa matunda kwa wananchi
Diwani wa kata ya Mabibo Kasim Lema amesema kuwa mpango wa Bunge la Jamii unaoendelea katika Kata hiyo umesaidia sana katika kupunguza matatizo yaliyokuwa yanawakabili wakazi wa eneo hilo kwani kwa hivi sasa wanauwezo wa kukutana na kujadili pamoja.