53% ya Watanzania hawana taarifa ya uchaguzi Z'bar Nusu ya wananchi wa Tanzania Bara sawa na 53% wamesema hawafahamu kilichojiri Zanzibar tangu ulipofanyika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015. Read more about 53% ya Watanzania hawana taarifa ya uchaguzi Z'bar