Kiwanda cha nyama Shinyanga kimetelekezwa -Masele
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga mjini, Stephen Masele ameiambia serikali mjini Dodoma wakati wa maswali na majibu kwamba kiwanda cha nyama shinyanga hakifanyi kazi kwa miaka 42 huku serikali ikitoa majibu ya kukichukua bila mafanikio.