Nonga, Chidiebre kusaini kuitumikia Stand United

Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, Paul Nonga.

Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Paul Nonga anatarajiwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Stand United katika msimu ujao wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS