Viongozi chanzo cha kukwama kwa vyama vya ushirika
Naibu Waziri wa Kilimo , Mifugo na Uvuvi William Tate Ole Nasha amekemea tabia ya viongozi wa vyama vya ushirika kutumia mali za ushirika na kududumiza vyama vyao hadi vingine kufa kabisa huku wao wakineemeka na mali za wanachama.

