Mshambuliaji wa Argentina na klabu ya Napoli ya Italia Gonzalo Higuain (pichani) anayetajwa sana katika dirisha hili la majira ya kiangazi ya usajili.
Habari kubwa kwa sasa barani Ulaya zinahusu uhamisho wa wachezaji kutoka klabu moja kwenda nyingine wakati timu zikinuwia kujiimarisha kuelekea msimu ujao wa mwaka 2016/17.