Serikali kujenga vituo vya afya 105 nchi nzima

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Mhe. George Simbachawene amesema serikali inatarajia kujenga vituo vipya vya afya takribani 105 kwa fedha ambazo zimetengwa kwa bajeti ya mwaka 2016/2017.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS