Tozo ya 18% ya Miamala sio mzigo kwa wananchi-TRA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wananchi kuondoa wasisi juu ya kodi mpya ya VAT ya asilimia 18% itakayotozwa kwa kufanya mialama ya huduma za kifedha katika mabenki na huduma za kifedha kwa njia ya simu za mkononi.

