Wananchi walia na bei ya sukari Igalula - Tabora Wananchi katika jimbo la Igalula Mkoani Tabora wameeleza namna wanavyoathirika na ukosefu mkubwa wa sukari katika maeneo yao huku bei ikiwa haipo sawa katika eneo moja hadi linguine. Read more about Wananchi walia na bei ya sukari Igalula - Tabora