Makamu wa rais ataka wananchi wavumilie mabadiliko
Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kuwa na uvumilivu dhidi ya hatua zinazochukuliwa na serikali ya awamu ya tano katika ukusanyaji wa kodi na hatua dhidi ya viongozi wabadhirifu.

