Sita wauawa kwenye mashambulizi nchini Kenya
Watu sita wameuawa nchini Kenya baada ya washambuliaji wanaoshukiwa kuwa wa kundi la itikadi kali la Al-Shabaab kuyafyatulia risasi mabasi mawili kaskazini mashariki mwa nchi hiyo karibu na mpaka na Somalia.

