Man Water atoa sababu ya kuwarudisha wakongwe. Producer Man Water wa combinataion sound, ameelezea sababu ya kupenda kuwarudisha wasanii wa kitambo kwenye game, ambao tayari walishapotea kimuziki. Read more about Man Water atoa sababu ya kuwarudisha wakongwe.