Watoto wenye ulemavu watengewa Bil 16/- za elimu
Waziri wa nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,(TAMISEMI), Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa serikali imetenga shilingi bilioni 16 kwa ajili ya kuhudumia shule zenye watoto wenye ulemavu nchini.