Rais Magufuli apokea ripoti ya uchaguzi mkuu 2015
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo tarehe 23 Juni, 2016 imekabidhi taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika tarehe 25 Oktoba, 2015 kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.