Yanga yakubali yaishe sasa kuwavaa Mazembe Jumanne
Baada ya mvutano kati ya Yanga na Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kwamba mechi ya Kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya TP Mazembe ichezwe lini kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, sasa jibu ni Jumanne kama ilivyotangazwa awali na TFF.