Jeshi la Polisi kuzindua mpango wa maboresho
Jeshi la Polisi kesho litazindua mpango wa maboresho ya jeshi la polisi ambao una lengo la kuleta mageuzi ya utendaji kazi katika kuwahudumia wananchi kwa kuzingatia weledi, sheria pamoja na haki za binadamu.