Mrema aunga mkono kauli ya Rais ya kusitisha siasa
Mwenyekiti wa TLP taifa Dkt. Augustine Lyatonga Mrema amesema kwamba kitendo cha Rais Dkt. John Magufuli kusema kwamba siasa ziachwe hadi miaka mitano iishe kunatokana na tabia ya upinzani kugomea kila kitu bila kuweka maslahi ya taifa mbele.