Bunge lapitisha Muswada wa Sheria ya Fedha
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha muswada wa fedha wa mwaka 2016 unaolenga kufanyia marekebisho sheria 16 zinazohusu masuala ya Fedha ,Kodi, Ushuru ,Tozo na Mawasiliano kwa ajili ya kuidhinisha bajeti ya serikali kwa mwaka 2016/17