Bunge likiisha fedha zitaelekezwa kwenye miradi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwamba serikali itaanza kupeleka fedha za miradi ya maendeleo katika halmashauri ili ahadi zilizoahidiwa zianze kutekelezwa kwa vitendo. Read more about Bunge likiisha fedha zitaelekezwa kwenye miradi